NAY WA MITEGO "MAMBO YA AJABU ANAYOFANYA CHID BENZ YANATOKANA NA MADAWA YA KULEVYA"

www.streetconscious.blogspot.com
Amebananishwa Msanii anayefanya poa kwa ngoma yake ya Salamu zao na muziki gani "Nay wa Mitego" kumzungumzia Chid Beenz ambapo Nay aliamua kufunguka kwamba yeye ni Mmoja kati ya waliokuwa Mashabiki wakubwa sana wa Muziki wa Chid Beenz ila alimpoteza tu pale alipoanza kufanya mambo za ajabu ajabu ambazo kama ni Mtata utakuwa umegundua kuwa Kutoboa pua ni maja kati ya maajab ya Chid kwa Nay.
Nay anaamini kuwa mambo ya ajabu anayoyafanya Chid anashawishiwa na kutumwa na Madawa pamoja na Pombe zake na ndiyo maana pia anagombana na watu hovyo.

Kwa upande wa Vitu anavyovipenda hadi leo kwa Chid Beenz ni Flow yake na anavyoitune Sauti yake hapo ndipo Ney anaposema kuwa hata sauti yake inatokana kik kidogo na Sauti ya Chid kwani alikuwa anatamani kuwa kama Chid Kitambo hicho.

Ushauri wake ndo ukafikia hapo kuwa Chid aache Madawa kama alivyoahidi kuwa anaacha na kusema kuwa kama angekuwa ameacha tungeona amebadilika
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment