Mkali wa rap music baada ya miaka kadhaa iliyopita kusikika akitangaza biashara ya pipi yenye radha ya bangi na hata baadae pia akasikika kuwa kabadilisha jina toka Snoopy Dogg na kijiita Snoop Lion ambapo kufanya kwake hivyo ilikuwa ni kwa lengo ka kufanya promo ya albam yake aliyoipa jina la Raincarnated iliyokuwa na mahadhi ya Raggae ameamua kudadili jina tena na safari hii anataka kuitwa Snoopy Zilla.Rapa huyo kwa sasa yuko katika hatua za kuprmote project yake mpya inayokwenda kwa jina la '7 Days of Funk' ambayo ameikamilisha na muimbaji Dam-Funk hivyo basi wale wadau wa muziki na kazi kibao za rapper Snoopy mtegemee majina kibao yanayotengenezwa kwa ajili ya kupromote kazi zake ili kupata soko zuri katika game.
Tumekuwa tukiona wasanii wetu wa Bongo wakibadili majina tu kwasababu tu za marafiki au watu wao wa karibu tu kuwapa majina hayo au jina flani kuzoeleka na mwisho kulifanya kuwa jina la kazi lakini kwa wenzetu haiko hivyo hasa kwa Snoopy ambapo yeye anabadilisha jina kwa ajili ya kusogeza biashara mbele na kuna uwezekano mkubwa sana akawa amefanikiwa mara kadhaa kupitia njia hii ndio maana ameamua kuichagua ka kuitumia mara kadhaa kila anapotaka kuleta biashara yake sokoni.Tayari SOOPY ZILLA albam ameanzisha kundi lake la muziki akiwa na watoto wake wawili na wameshatoa albam yao.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment