BRAND NEW TRACK:CHABBA FT JORDAN – MURDER



Ikiwa bado mixtape yake “Nyota njema ya mtaa” inaendelea kufanya vizuri sokoni, Chaba a.k.a Baba mkubwa anayewakilisha 009 (Ngalimited) Arusha city, anawazawadia wapenzi wa muziki wake track mpya na moto kabisa toka Grandmaster Records chini ya utayarishaji wa producer John B akiwa amemshirikisha Jordan aliyetisha na ngoma yake ya mapenzi vita mapema mwaka huu.Huyu hapa ni Chaba akiizungumzia track yake mpya;- “Mmmmh! Hii track basically, ni zawadi kwa mashabiki zangu kwa kuipokea vizuri na kuinunua mixtape yangu ili pia wasio nazo waendelee kuinunua, na pia bila kusahau kuwa kawa bado Baba mkubwa nawa-murder rappers wote wanaoigiza sanaa”
Download HAPA Hiyo Track
 
WWW.STREETCONSCIOUS.BLOGSPOT.COM
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment