JE UNAJUA KUWA CHE GUEVARA AMESHAWAHI KUJA TANZANIA??????



INAWEZEKANA UMEMUONA SANA KWENYE MICHORO KWENYE FULANA, MASHATI,KOFIA NA STICKER MBALIMBALI HUYU JAMAA BILA KUTAMBUA KUWA ALISHAWAHI KUKANYAGA ARDHI YA NCHI HII YA TANZANIA.
JUA HILO SASA KWA KUPITIA KURASA YAKO YA KIHARAKATI.
MNAMO 1966 CHE GUEVARA AMBAYE JINA LAKE KAMILI NI ERNESTO GUEVARA ALIYEZALIWA JUNE 14 ,1928 ALIWASILI TANZANIA AKIWA NA WATU WAPATAO 14 WAKIWA KATIKA MISSION KUU WALIYOTUMWA KUJA KUIFANYA KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA KATIKA KUSAIDIA HARAKATI ZA MAPINDUZI NCHINI CONGO.
ALIKAA TANZANIA KWA MUDA WA MIEZI MITANO NA ALIVYOKUWA DAR ES SALAAM ALIKUWA AKIISHI UBALOZI WA CUBA PALE UPANGA.
ALIKIPENDA SANA KISWAHILI NA KUDHIHIRISHA ILO ALICHAGUA NENO "TATU" KUWA NDIO CODE NAME YAKE KWA KIPINDI CHOTE ALICHOKUWA DAR ALIVYOENDA ZANZIBAR NA CONGO.
INASEMEKANA PIA CHE GUEVARA ANAMCHANGO MKUBWA SANA KATIKA MAPINDUZI YA ZANZIBAR ILA HAIKUANDIKWA KWA SABABU YA USIRI MKUBWA ULIOWEKWA
.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment