PICHA ZA MR NICE AKISAINI MKATABA NA LEBO NYINGINE NCHINI KENYA BAADA YA KUTEMWA NA GRANDPA REC.



Mr Nice amepata shavu la mkataba wa mwaka mmoja katika Record Lebo inayoenda kwa jina la Candy&Candy Records ya nchini Kenya.Hii ni baada ya GrandPa Rec nayo ya nchini kusitisha mkataba nae nakudai kuwa Mr nice alikuwa mvivu na mlevi kitu ambacho Mr Nice amekanusha wakati akisaini mkataba huo mpya nakusema GrandPa Rec ni waongo.
Mr Nice na CEO wa Candy&Candy Records Joe Kairuki

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment