Jay-Z anasema rafiki yake wa zamani waliokuwa nae Roc-A-Fella Records mkali Dame Dash “Tulichokitengenezahuwezi kukipoteza” alisema Jay. Jay-Z alichukua kile kilichodhaniwa kwamba alimchana mshikaji wake huyo wa zamani Dame Dash kwenye single iliyotoka 2006 ngoma ya “Lost Ones”, Jana Julai 9 rapper huyo kutoka Brooklyn anasema kupitia mahojiano aliyofanya kupitia radio ya Hot 97 kwamba kufanya kazi kwao pamoja ilikuwa historian a bado anamapenzi na mshikaji wa zamani Dame Dash.Pia anasema huwa wanatumina texts na rais Obama na akamuongelea mtoto wake Blue Ivy..Check video...
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment