HUU NDIO UJIO MPYA WA NISHER




Msanii wa kizazi kipya ambae pia ni Director kutoka katika kampuni ya Nisher Entertainmentakijulikana kama Nisher ambae hadi sasa anatamba na ngoma yake ya I’m Single ambayo aliiachia miezi michache iliyopita.
Sasa mpya kutoka kwa Nisher ni kuwa hivi karibuni anatarajia kuachia ngoma yake nyingine mpya inayokwenda kwa jina la “PAPER”, ambayo anatarajia kuiachia ifikapo tarehe 8 July mwaka huu.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment