
UJUE UNDANI WA NGOMA ''JANA NA LEO'' YA YOUNG KILLER FT STAMINA & QUICK ROCKA
Wiki iliyopita the rock city boy Young Killer aliachia ngoma yake mpya inayoitwa Jana na Leo akiwa ameshirikiana na M-moro town Stamina pamoja na the Green city boy Quick Rocka,sasa chini ya capet ni kwamba hiyo kabla ya kuachiwa ilibidi Stamina aka edit upyaa verse zake baada ya kuonekana ile ya mwanzo ilikuwa na maneno ambayo yaliashiria kumponda muasisi wa crew ya zamani East Coast Team Gwamaka Kaihula 'King Crazy Gk'.Katika line hizo Stamina alirap''Hakuna King chizi kama GK,Hiki kipigo cha mwizi kaseme kama Aslay'.Lakini Stamina alisema kabla ya wao kuiachia rasmi ngoma hiyo ilibidi kwanza awasikilizishe wadau kadhaa ambapo walimwambia line hiyo italeta matatizo kati yake na Crazy Gk na ikabidi ampigie simu Gk kwa uhakika zaidi ambapo Gk alimwambia aachane na line hiyo na ndipo alipokwenda kuibadilisha mpaka ikawa hivo unavyoisikia leo..

0 comments:
Post a Comment