T.I.D NAE AJITOA KWENYE SHOW YA UZINDUZI WA JAYDEE

Show ya miaka 13 katika muziki ya Lady Jaydee inazidi kupata pigo baada ya TID kuwa msanii mwingine latest kujitoa kwenye show hiyo.


Moja ya sababu anayosema TID ni kuwa ana mkataba mwingine wa show unaolipa zaidi.. Sababu ya pili ni kuwa hataki kuwa katikati ya ugomvi wowote.
 
Hivi ndivyo alivyoandika TID kwenye ukurasa wake wa Facebook.
 
“Three reason why i can’t do lady JIDE SHOW ………….No.1 I have better contract pays me better than.
No.2 I really don’t want to be between anybody’s conflict ya kwangu yananishinda naona nieupushe shari…
No.3 nataka kuoa muda wangu ndo huu ……………kama nimekukosea captein na madame kazeni but I have been thru same shit.”
 
Tayari Linah, Barnaba na Matonya wamejitoa kutumbuiza kwenye show hiyo....so what next??
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment