Katika kuonyesha kile alichoita na msimamo wa kampuni yao,mkurugenzi wa vipindi wa radio clouds fm ya jijini Dar es salaam ameamuru nyimbo za bongo fleva kutopigwa kabisa katika redio hiyo siku ya leo.Katika kujibu shutuma alizoshutumiwa na msanii Lady Jay Dee kwamba anaharibu muziki wa kizazi kipya Ruge ameamua kuonyesha msimamo wake huo ikiwa ni kusisitizam juu ya uamuzi binafsi wa wao kama kampuni kuamua watakacho na sio kupangiwa na watu kwa matakwa yao.........
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment