RADIO & WEASEL KUZINDUA ALBUM YAO MPYA IJUMAA HII

Kundi la GOODLIFE linalojumuisha vichwa viwili hatari kabisa kutoka nchini UGANDA, maarufu kama Radio and Weasel sasa liko mbioni kuachia album yao mpya ...
Kundi hilo ambalo linafanya vizuri sana na badhi ya ngoma zake kama Kuku, Potential, Cant Let u Go, Bread And Butter, Ability na nyinginezo linatarajia kuzindua album yake nyingine siku ya Ijumaa hii ya tarehe 10 May mwaka huu inayokwenda kwa jina la "OBUDDE" huko nchini UGANDA.
Album ya Obudde ambayo imebeba nyimbo kali sana kama Fantastic, Ba Customer, Take Me Home, Magnetic na nyinginezo kibao...
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment