
NI KWELI ROMMY JONES KUIWAKILISHA TANZANIA BIG BROTHER MWAKA HUU?
Lile shindano linalovuta hisia za watu wengi Tanzania na Africa kwa ujumla linalojulikana kama BIG BROTHER AFRICA linatarajiwa kuanza tena msimu huu hivi karibuni.....Kama ilivyo ada nchi mbalimbali hutoa wawakilisha wao na kwenda kuiwakilisha nchi huko nchini AFICA KUSINI..Shindano hili linatarajiwa kuanza tarehe 25 mwezi huu.Kwa upande wa muwakilishi atakaeiwakilsha Tanzania kumekuwa na tetesi kwamba aliyekuwa mtangazaji wa Clouds tv Romeo Jones Rommy ndiye atakuwa muwakilishi japo haina uhakika wa asilimia mia moja.Japo Afisa uhusiano wa MULTI CHOICE TANZANIA Bi.Babra Kambogi alipoulizwa kuhusina na suala la Rommy Jones kuiwakilisha TZ hakukanusha wala kukubali zaidi alisema jina la mwakilishi ni siri na litawekwa wazi tarehe 25 may mwaka huu.Basi Tusubiri af 2oneeeeeeeeee.

0 comments:
Post a Comment