Kuna tetesi kwamba wimbo unaofanya vizuri kwa sasa wa mwanadada Judith Wambura uitwao JOTO HASIRA ni kopi ya wimbo kama huo toka Kenya ambao uliimbwa muda mrefu na msanii wa Kenya.i LADY JAYDEE ametangaza kujitokeza kwa msanii ambae anadai alishafanya single yake ya sasa inayojulikana kama JOTO, HASIRA... Ikimaanisha ni kama JAYDEE ameurudia wimbo huo ...
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment