“Mizinga 2” Ni show itakayotoa heshima ya kipekee kutoka kwa kundi la” Kikosi Cha Mizinga” kwa wapenzi wa Hip Hop kutokana na kufuatilia na kufurahia harakati zao za muziki na utamaduni wa Hip Hop kiujumla kwa kipindi cha miaka 13 toka waanze shughuli rasm. Usiku huu unatazamiwa kuzama kwenye nguzo zote za Hip Hop (Ku-mc, Kubreakdance, kuchora graffiti na U-dj) ambapo zaidi ya makundi 30 ya Hip Hop ya kizazi kipya na cha awali watatoa mistari mikali yenye hatari “Mizinga 21” kwa heshima ya miaka 13 ya kikosi katika Hip Hop itafanyika “New Msasani Club” Ijumaa ya tarehe 31
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment