
INAWEZEKANA NI KWELI BEYONCE ANA MIMBA
Wakati mtoto wao akiwa bado mdogo kabisa,Jay Z na Beyonce inaonekana kama wanahitaji watoto zaidi.Kwa mujibu wa vyanzo vya uhakika ni kwamba mwanadada ana mimba ya pili.Siku chache zilizopita Beyonce ali CANCEL show yake katika muendelezo wa Tour yake ya MRS.CARTER TOUR baada ya kuanguka kutoana na upungufu wa maji mwilini na uchovu ..Tetesi hizi za ujauzito zinzidi kuwa hot kutokana na maelezo ya mwanadada huyo hivi karibuni wakati wa mahojiano na kituo cha ABC ambapo alisema''NAPENDA KUPATA WATOTO ZAIDI NADHANI BINTI YANGU ANAHITAJICOMPANY....angalia hii picha hapa

0 comments:
Post a Comment