Posted in Reebok, Rick Ross

Ile issue ya Rick Ross na na endorsement yake na Reebok bado inaendelea
... Kampuni hiyo iliyompiga chini rapper huyo baada ya kuandika mistari
katika moja ya ngoma zake ikichochea mambo ya UBAKAJI ...
Mpya kuhusu sekeseke hilo ni kuwa boss wa Reebok, i mean the CEO amei-diss management ya Rozay na kuwaita "STUPID" ...
"It's unfortunate because he's a great guy, he just has stupid advisors around him ..." He said ...
CEO huyo ameendelea kudai kuwa, Rozay ni mtu poa ila watu wanaomzunguka na kumshauri ndio wenye matatizo ...
0 comments:
Post a Comment