MUSIC : Sikiliza COPY Ya Wimbo JOTO, HASIRA Unayosemekana Kurekodiwa Kabla Ya LADY

Habari hiyo ambayo ilisema wimbo huo uliwahi kufanywa kwa mara ya kwanza na jamaa ambae ni raia wa Kenya, ulirekodiwa mwaka jana ikiwa ni kipindi ambacho kabla ya LADY JAYDEE hajarekodi wa kwake ...
Sasa Je?, ni LADY JAYDEE na PROF. JAY wamecopy huko?? Au ni kitu gani kinachoendelea hapa ... Bado tunaendelea kutafuta na kujua ni nini hasa kipo katika hili ...
Tumefanikiwa kupata COPY ya wimbo huo, usikilize hapa chini :
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment