MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Naseeb Abdul 'Diamond' amebariki mahusiano ya msanii mwenzie Ney wa Mitego ambayo yeye mwenyewe bado hajataka kuyaweka wazi.
Diamond ameonekana kuvutiwa na mahusiano hayo yaliyopo kati ya msanii huyo pamoja na mwanamke ambaye Ney hakuliweka wazi jina lake, kwa kuwakutanisha wawili hao kukumbatiana ikiwa ni ishara ya mapenzi yao.
Akizungumza wakati anafanya kitendo hiko Diamond alizungumza maneno ya utani kwa Ney kuwa ampige busu bila kuogopa busu uoga .
0 comments:
Post a Comment