
MITIHANI YA KIDATO CHA NNE 2012 KUSAHIHISHWA UPYA!
Tume iliyoundwa na Waziri Mkuu Tanzania Mhe. Mizengo Pinda ya kuchunguza matokeo ya kidato cha nne 2012, LEO imeitaka serikali ifute matokeo yote na mitihani isahihishwe upya!
Hayo yamesemwa bungeni leo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia sera na uratibu, Mhe. William Lukuvi.
Ukiwa kama muhusika wa moja kwa moja, au mdau wa elimu, au mwananchi wa kawaida uliyeguswa na matokeo hayo, MAONI yako ni nini kuhusu hili?
0 comments:
Post a Comment