Ni ngoma mpya kutoka kwa rapper MwanaFA inayokwenda kwa jina la "KAMA ZAMANI" ...
KAMA ZAMANI imetengenezwa ndani ya studio za BONGO RECORDZ chini ya ushirikiano wa Producer P-FunkMajani pamoja na Kilimanjaro Band "Wananjenje" ...
Ndani ya DEBUT hii MwanaFA amewashirikisha wasanii wakongwe kabisa katika muziki, bendi ya Kilimanjaro Bandambayo inaundwa na Mzee Waziri, Mafumu Bilali na wengineo + wasanii wa kizazi kipya wa muda mrefu Mandojo naDomokaya.
Kuwa wa kwanza kuisikiliza KAMA ZAMANI hapa chini :
x
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment