King wa CHORUS Na RnB in TANZANIA kwa sasa, BEN POL yupo katika matengenezo ya ngoma nyingine na mwanamuziki mwenzie ... NGWAIR a.k.aCOWIZZY ...
Ngoma hiyo ambayo according to their conversations ni kuwa anaesubiriwa kwa sasa ili imalizike ni NGWAIR tu ...
Check maongezi haya katika YA BEN POL na NGWAIR ...



Bado JINA la mdundo huo halijafahamika and we will soon close kuwafahamisha zaidi kuhusiana na wimbo huo ...
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment