BAADA YA MASWALI JUU YA NANAI ATAIWAKILISHA TZ BIG BROTHER AFRICA HATIMAYE HUYU NDIYE MWAKILISHI WETU

BIG BROTHER AFRICA ''THE CHASE''
Miss Fezza Kessy ndiye mwakilishi kutoka Tanzania atakaye tuwakilisha katika mashindano ya Big Brother Africa 2013.
Big Brother Africa 2013 itaanza tarehe 26 May 2013. Ina jumla ya washiriki 28 kutoka nchi 14 kutoka Africa.

Mshindi ataondoka na kitita cha dolla laki tatu. Show hii ya big brother itarushwa na station ya M-net.
Watanzania wanaombwa watoe full support kwa mshiriki wetu Fezza Kessy.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment