Rapa Curtis Jackson almaarufu kama 50 cent amezidi kuonekana kututafuta kwa nguvu ugomvi kati yake na bosi wa Maybach Music baada ya siku ya jana ku2pia picha inayomuonesha Rick Ross akiwa na Bosi wa Bad Boy Sean Combs P.diddy.Huu na muendelezo wa bifu yao ya miaka mingi ambapo wiki iliyopita ten 50 cent aliachia ngoma ya msanii ambae yupo chini yake iliyokuwainamdiss Rozay
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment