Wanawake london Kugomea Show ya Diamond Baada ya Kumzalilisha Wema



Baada ya Diamond kusambaza clip ambayo inasikika Wema Akiongea nae ambayo Diamond Amesema kuwa Wema Alikuwa anajitongozesha...Mange Kimambi Ametoa Wito kwa wanawake wote walioko London Kutokwenda show ya Diamond akienda kufanya Show huko kwa vile alimzalilisha mwanamke mwanzao....

"PS: Alafu bado utaona kunamijanamke huko London itavaa kabisa nguo na kujipaka ma makeup kwenye kumkatia Diamond viuno kwenye show... Ladies lets stand together...
tutadhalilishwa mpaka lini na hawa watu.....embu tuonyeshe mfano hapa......HAKUNA MWANAMKE KWENDA KWENYE SHOW YA DIAMOND HUKO LONDON..
ATAKAE KWENDA NTUMIENI PICHA YAKE HUMU TUMJUE...
....ILA GUYS Seriously huyu jamaa kavuka mipaka tumfanye mfano kwa wenzie" Mange Kimambi


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment