
Stamina anatarajia kuanza kushoot video ya ngoma yake kali, WAZO LA LEO ...
Bill and The #GMXCelebrity101 Crew ilimpata Stamina maeneo akiendelea na maandalizi hayo ya shughuli ya kesho, yaani Jumapili ya tarehe 21 April ...
"Elimika nyangema maisha hayaendeshwi na nguo ... " Ha ha ha... ni mmoja wa mstari wa Stamina katika ngoma WAZO LA LEO aliyomshirikisha#Mentor wake, from MWANZA CITY, Fid Q a.k.a Ngosha ...
Video ya WAZO LA LEO itafanyiwa shooting yake na kampuni ya PROMO ONLY chini ya Director Benjamin ...
Check hapa chini, STAMINA akiongelea mchongo kamili utakavyokuwa na pia akidiscuss mambo mengine kuhusu muziki wake ...
0 comments:
Post a Comment