Single mpya ya D'Banj imetoka, SCAPE GOAT ... Ni ngoma kali itakayokuwemo kwenye album mpya ya D'Banj inayofahamika kama D' KINGS MEN [DKM] ...
G.O.O.D Music Boss, Kanye West amekamata collabo katikaREMIX ya ngoma hiyo ... Yaani SCAPE GOAT [REMIX] na amefanya na D'Banj ...
D'Banj ambae pia ni member wa label hiyo kubwa duniani ikimilikiwa na KANYE, G.O.O.D Music ikiwa na wasanii wengine wakubwa kama BIG SEAN na wengineo ...
Sikiliza SCAPE GOAT[REMIX] hapa chini :
0 comments:
Post a Comment