R

Rapper kutoka Tamaduni Musik, Moko Wa Miujiza, ama One The Incredible ambae recently ameachia video ya ngoma yake ya Get Em...
Siku ya jomamosi wiki hii ataachia ngoma yake mpya ambayo amemshirikisha rapper mwingine kutoka TAMADUNI MUZIKpia, Songa pamoja na Damian ...
Ngoma hiyo ambayo bado haijajulikana jina, anatarajia kuiachia na kuitambulisha siku ya Jumamosi ya Tarehe 27, Kilingeni maeneo yaNew Msasani Club ...
0 comments:
Post a Comment