CHEK OUT''BAADHI YA PICHA ZA UZINDUZI WA TUZO ZA KILLI MUSIC AWARDS 2013


Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Mr George Kavishe akifafanua jambo katika hafla ya uzinduzi wa Tuzo hizo ambazo zimezinduliwa rasmi sambamba na kusaini mkataba mpya wa kudhamini Tuzo hizo kwa kipindi cha miaka 5 tena.
Kaimu Katibu Mtendaji wa BASATA Mr David Mwingereza akifurahia baada ya shughuli ya kusaini mkataba huo.
Shughuli hiyo iliambatana na uzinduzi wa logo mpya itakayotumika mwaka huu katika Tuzo hizo.
George Kavishe akifafanua jambo
Aliyewahi kuwa Miss Tanzania Angela Damas
Chid Benz naye alikuwepo katika hafla hiyo.

Mchakato wa kuwapata wasanii waliofanya vizuri kwa mwaka mzima umeanza leo rasmi na utamalizika tarehe 8 Juni ambapo kutafanyika hafla maalum ya kuwatangaza washindi hao.Bia ya Kilimanjaro itaendelea kudhamini Tuzo hizo hadi mkataba huo utakapokwisha mwaka 2018.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment