Mwanamitindo kutoka nchiniMarekani, Amber Rose amejichora tattoo mpya katika mwili wake ...
Amber ambae miezi michache iliyopita ametoka kujifungua mtoto wa kiume aliyezaa na rapper Wiz Khalifa na kumpa jina la Sebastian Bash Tayloramechora Tattoo katika sehemu ya mkono wake yenye mchoro wa sura ya Wiz Khalifa...
Tattoo hii ina-portray ni jinsi gani wawili hao wanavyopendana kimapenzi ...
0 comments:
Post a Comment